Amos 1:7-8


7 anitatuma moto juu ya kuta za Gaza
ambao utateketeza ngome zake.

8 bNitamwangamiza mfalme wa Ashdodi
na yeye aishikaye fimbo ya utawala katika Ashkeloni.
Nitaugeuza mkono wangu dhidi ya Ekroni,
hadi Mfilisti wa mwisho atakapokufa,”
asema Bwana Mwenyezi.

Copyright information for SwhKC